vichekesho - JamiiForums
...Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi. 1. Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue. 2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha......
https://www.jamiiforums.com/tags/vichekesho/
Vichekesho mbalimbali kutoka mtandaoni. Tucheke kabla ya kulia october ...
...Hivyo basi kwenye thread hii nitakuwa naweka vichekesho mbalimbali ili tucheke kabla hatujalia. #october tunakiwasha. Better tanzania is now or never! NB: nitaweka source ya kichekesho endapo kuna ulazima. Sijatunga mimi, ninatoa tu kwenye internet. Endapo utapita na kugonga like au ukasubscribe itakuwa poa sana!...
https://www.jamiiforums.com/threads/vichekesho-mbalimbali-kutoka-mtandaoni-tucheke-kabla-ya-kulia-october-29.2393200/
Vichekesho (Special thread) - JamiiForums
...jamaa flani alienda kwenye kibanda cha mama ntilie akaagizia chipsi na mayai. mama ntilie wakati anamuekea akamuuliza"vipi nizichanganye???" jamaa kwa kujifanya anajua kiingereza akajibu"YEAH COMFUSE THEM.."...
https://www.jamiiforums.com/threads/vichekesho-special-thread.2154386/
Vichekesho kumi za leo teh teh teh!!! | JamiiForums
...1. Maswali haya je una majibi? JIBU KISHA NITUMIE MAJIBU![mtihani wa maarifa ya dunia] 1. Kama hela haioti kwny miti, kwnn bank zina matawi? 2. Kwnn gundi haigandi kwenye chupa yake? 3. Kama tunatakiwa tusi-drive wkt tumekunywa, kwnn bar kuna parking? 4. Kama neno abbreviation......
https://www.jamiiforums.com/threads/vichekesho-kumi-za-leo-teh-teh-teh.171257/
Mabadilishano ya Utamaduni-Vichekesho - JamiiForums
...Kuna tofauti gani baina ya vichekesho vya Kichina na Kiswahili? Tafadhali lete baadhi ya vichekesho vya Kiswahili hapa, tuvilinganishe. 1.NZIGE Wakati Bwana Bababa alipokuwa mkuu wa Wilaya ya Kilolo, mwaka mmoja kulitokea jua kali, nzige walionekana kila......
https://www.jamiiforums.com/threads/mabadilishano-ya-utamaduni-vichekesho.1843533/
GE2025 - Msanii wa Vichekesho, Ramso atekwa na watu wasiojulikana ...
...GE2025 Msanii wa Vichekesho, Ramso atekwa na watu wasiojulikana, aliposti video akimtaka Samia ajiuzulu Luca Paguro Oct 8, 2025 matukio ya utekaji uchaguzi 2025 uchaguzi mkuu 2025 ukatili wa polisi utakaji kwenye uchaguzi utekaji tanzania watu wasiojulikana...
https://www.jamiiforums.com/threads/msanii-wa-vichekesho-ramso-atekwa-na-watu-wasiojulikana-aliposti-video-akimtaka-samia-ajiuzulu.2392376/
Vichekesho vinavyotokea Tanzania huko kuzimu bwana shetani anaangua ...
...Vichekesho vinavyotokea Tanzania huko kuzimu bwana shetani anaangua kicheko kweli na watu wake felakuti 4 minutes ago bwana kuzimu shetani tanzania vichekesho wake...
https://www.jamiiforums.com/threads/vichekesho-vinavyotokea-tanzania-huko-kuzimu-bwana-shetani-anaangua-kicheko-kweli-na-watu-wake.2394184/
Ombi: Serikali iruhusu wasanii wa vichekesho kuvaa nguo kama za jeshi ...
...Wasanii wa vichekesho wapate vibali vya kuvaa nguo za jeshi au zinazolingana na jeshi kwenye content creation. Wala haitaathiri usalama au amani ya nchi . Maisha ya wananchi mnefanikiwa kuyafanya vile mtakavyo , muwape sasa furaha kwa kutazama comedy wafurahi wasogeze siku ....
https://www.jamiiforums.com/threads/ombi-serikali-iruhusu-wasanii-wa-vichekesho-kuvaa-nguo-kama-za-jeshi-kwa-kibali-maalumu-wanapohitaji-kufanya-hivyo-tuache-ukale.2377303/
Vichekesho mbalimbali kutoka mtandaoni. Tucheke kabla ya kulia october ...
...Jamaa yuko na mwanamke wake ndani ya range rover yake mpya. Akamwambia; Jamaa:babe kuna kitu nilitaka kukuambia ila nikaogopa utaniacha! Mwanamke: nini hicho? Jamaa: nimeoa! Mwanamke: mxuuuu! Umenistua! Mi nikadhani hii gari sio yako!...
https://www.jamiiforums.com/threads/vichekesho-mbalimbali-kutoka-mtandaoni-tucheke-kabla-ya-kulia-october-29.2393200/page-2
Kiongozi wa Serikali ya JMT akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya ...
...Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja! Modes naomba uzi huu......
https://www.jamiiforums.com/threads/kiongozi-wa-serikali-ya-jmt-akiwakilisha-serikali-amepokea-tuzo-ya-bingwa-wa-vichekesho-tanzania.2311400/